Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam
Piga cm boss upelekwe site
WADAU NALITUPA HILI PAGALA LIPO BUNJU A KM 3 KUTOKA BAGAMOYO ROUD ๐LINATUPWA NIKALI BALAA LINA VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHOO KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 573 KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI NYUMBA IPO MTAA WAKIBABE SANAAAAA BEI LINAUZWA MILION 45 MAONGEZI KIDOGO YAPO NA. UNAWEZA LIPIA KWA AWAMU MBILI LIPA NUSU UDAIWE NUSU WAHI MJENGO HUU UNA RAMANI KALI SANA๐ฅ๐ฅ