Nyumba inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAA INAUZWA
IKO BUNJU A USALAMA, NI YA PILI KUTOKA BARABARA KUU
BEI NI MIL 170 tsh (mazungumzo kidogo sana)
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA
Kimoja Masta, Sebule, dinning, jiko lenye stoo.
NYUMBA INA HATI MILIKI
MAWASILIANO ZAIDIย
0658637690
0692435048