Nyumba inauzwa Buyuni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA NYUMBA INAVYUMBA VITATU KIMOJA MASTER VYOTE VINA AS DAINING JIKO MAKABATI LOCATION BUYUNI BARABARA YA KWENDA CHANIKA NI DK 7 TU KUFIKA KWENYE NYUMBA BEI NI ML 85 UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU MBILI KARIBU UPATE NYUMBA SIMU NO 0620124980.