Nyumba inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE
LOCATION : CHAMAZI (MBAGALA)
DETAILS : NI ENEO LENYE NYUMBA TATU NDANI, NYUMBA MBILI NI YA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER NA MOJA VYUMBA VIWILI, NDANI YA FENSI MOJA...
NOTE: UKINUNUA NYUMBA HIZI KILA KITU TUTAMALIZA SISI WENYEWE KAMA KAMPUNI, KUANZIA FENSI, VIOO VYA MADIRISHA, PEVINI NA MENGINEYO YOTE, UMEME NA MAJI VYOTE VIPO NA KILA NYUMBA INA LUKU YAKE.
BEI NI MILIONI 135 TU, MAONGEZI YAPO, KARIBUNI SANA SANA 🙏
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0753999903