Nyumba inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
APARTMENT 5, TSHS.35 MILIONI, CHANIKA BUYUN/ILALA.
Hapa jumla kuna vyumba 12 vya kulala.
Źa Chumba, Sebule na Choo kimoja ndani zipo 2
Na nyingine Vyoo ni vya nje.
Kumbuka usafiri ni Gari moja hadi mjini.
Unaweza kuchuma Pesa bila kuumiza kichwa wahi.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.