Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA + HEKALI MOJA + FREMU VINAUZWA
HII NI OFA MAALUM WATEJA WANGU, OKOTENI HII MALI,
NYUMBA YA VYUMBA 3, 2 NI MASTERS
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI,
PUBLIC TOILET
DINING ROOM
STOO,
NDANI YA FENSI,
MAJI DAWASA,
NYUMBA NDOGO ZIKO MBILI, ZOTE ZINA WAPANGAJI,
KUNA FREMU 5, ZA BIASHARA,
UKUBWA WA ENEO NI HEKALI MOJA,
LIKO NDANI YA FENSI,
VYOTE HIVI VINATUPWA KWA PAMOJA KWA BEI YA SHILINGI 230M, MAONGEZI YAPO,
GOBA TEGETA A,
0745559598