Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam
INAUZWA GOBA ROAD KITUO KWA ROBERT YENYE SIFA HIZO
VYUMBA V3 LVYAKULALA K1 MASTER, SEBULE KUBWA,JIKO LA KISASA,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENS
MIUNDOMBINU YA BARABARA SAFI,MAJI SAFI DAWASCO,MAJIRANI SAFI,UMEME UPO
UKUBWA WA KIWANJA SQM 400 PAMEPIMWA ULASIMISHAJI
HATI MAUZIANO(Sales Agreement)
UMBALI TOKA LAMI GOBA ROAD KM 1
BEI MILLION 95 MAONGEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 25,000/=
0679447338
0753454167