Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa,
Nyumba ipo Goba njia nne (Matosa)
Ina vyumba vitatu, kimoja master.
Sebule kubwa, dinning na jiko.
Gari mpaka ndani,
Nyumba ipo ndani ya fence.
Ni dk 5 kutoka njia nne round about.
Mmiliki mmoja.
Bei mil 65 tu.
Maongezi kidogo yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638