Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri inauzwa Goba Kinzudi, Dsm
Ina room 3 kimoja master, sitting room, dinning room, kitchen, store & public toilet
Karo la nje la vyombo lipo
Eneo: Sqm 400
Maji na umeme 👍✔️
Parking ipo yakutosha kabisa
(Nyumba ipo karibu kabisa na barabara kuu iendayo Goba center na Salasala)
👉 Ina fence tayari ila ni yakumalizia kidogo tu.
Bei: Tzs mil 45
☎️ Call: 0658090294
(Gharama yakupelekwa site ni Tshs elfu 30)