Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
------------------------------
📌GOBA MTAA WA MUHIMBILI
📌Umbali: DAKIKA 2 KUTOKA BARABARA YA LAMI
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ VYumba 03 Master
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko
✔️Choo Cha Public ndani
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)MITA YAKO
✔️ UMEME UPO
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA & NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
BEI MILLION 78 MAONGEZI YAPO
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 30,000/=
0746 433 854
*