Nyumba inauzwa Heka, Singida


MJENGO WA KIFAHARI UNAUZWA .
MJENGO HUU UNASIFA ZIFUATAZO:: >>
VYUMBA VYA KULALA 5 VIWILI NI MASTER BEDROOM'S SEBULE , DINING , JIKO, PUBLIC TOILET NA SEHEMU YA KUSOMEA. IPO NDANI YA FENSI NA INA ENEO KUBWA GARDEN SAFI NA NJE YA FENSI PIA KUNA ENEO KUBWA TU
ENEO LAKE NI NUSU HEKA .
NYUMBA HII IPO KOROGWE KILUNGULE
BEI YAKE NI MILION 430
MAONGEZI YAPO
KARIBUNI SANA WATEJA.
PIGA SIMU:: 0672 673363 >> 0763 219307