Nyumba inauzwa Iyumbu, Dodoma
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA -IMESHUKA BEI
______
MAHALI-IYUMBU (MORO-DAR ROAD)
-JIRANI NA SHULE YA MFANO
______
UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI-100M
______
NYARAKA ZA UMILIKI/DOCUMENT-HATI SAFI
______
UKUBWA WA KIWANJA-1500SQM
______
MUUNDO WA NYUMBA
-Vyumba 05 vya kulala(01 MASTA)
-Study room
-sebule kubwa
-Jiko nzuri lenye makabati(open kitchen)
-Dining nzuri
-Stoo yenye shelves
-Shoe rack
-vyoo 3 vya public na bafu ziko 2
NYUMBA NDOGO YA NJE (BOY'S QUARTER) YENYE
-CHUMBA
-JIKO
-STOO
-PUBLIC TOILET
_______
HUDUMA
-MAJI+UMEME 24/7
-KUNA FENI NA A.Cs
-VYOONI KUNA ELECTRIC HEATERS
-PERGOLA AMBAYO UNAITAJI KUIMALIZIA VIZURI (SEHEMU TA KUPUMZIKIA INAYOJENGWA KWA MBAO/CHUMA)
-ELECTRICAL FENCE
-MAIN GATE IMEFUNGWA MOTOR HIVYO UNAFUNGA NA KUFUNGUA GETI KWA KUTUMIA REMOTE
-SURVEILLANCE CAMERAS
(CORRIDOR,SEBLENI,DINNING NA NJE YA NYUMBA)
-SOLAR SYSTEM KWAAJILI YA BACK UP INCASE UMEME WA TANESCO UKIKATIKA
-WATER RESERVE TANKS 10000LT ZA MAJI YA DUWASA/BOMBA
-KISIMA KIMECHIMBWA NA PIA KUNA UNDERGROUND TANK KWAAJILI YA MAJI KUTOKA KWENYE KISIMA+MVUA NALO NI 10000LT
-KUNA ALARM SENSOR KWAAJILI YA SECURITY UMBALI MCHACHE TOKA KWENYE NYUMBA
______
BEI-280M (IMESHUKA BEI SASA TOKA 350M)
______
MAWASILIANO
0767833496 (CALL)
0622111186 (CALL+WHATSAP)