Nyumba inauzwa Kibada, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa kigambon kibada chekechea Nyumba ya vyumba 3 vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml 150 tu nyumba mpya kabisa nyumba inauwanja wakutosho ukumbwa wakiwanja sqmt 600 nyumba nizuli saan nyumba ina hati yake ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi Usha fanyika kila nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita300 tuu kufika ktk nyumba nyumba nizuli saan kalibu san kwamawasiliano #0683491594 #0716974073 .kupelekwa tsh 30