Nyumba inauzwa Kibaha, Pwani
๐Nyumba inauzwa ina hati miliki
๐Nyumba ipo Kibaha Msufini
๐Vyumba vitatu(kimoja masta)
๐Umeme na maji tayari
๐Inaitaji finishing
๐Eneo ni sqm 534
๐Toka stendi unatembea au 1000 kwa boda
๐Ina barabara 2 za mtaa(unaweza jenga frem mbele)
๐Bei million 38