Nyumba inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa nyumba ipo kibamba kwa mangi
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master stoo
Eneo sqm 1200
Hati tittlee dedee
Bei mil 160
Umbali toka moro road dk 5
Nyumba kali sana
Karibu sana mteja