Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


WAPAMBANAJI
NYUMBA HII INAUZWA NA KILA KITU CHAKE CHA NDANI, IPO NJIA YA KIGAMBONI KARIBU NA MWEMBE MTENGU.
Ina vyumba vinne kimoja master (MASTER KUBWA)
ina umeme plus solar system
Maji yapo.
Ina squar meter 1700
BEI Million 280 paka 260