Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Kigamboni Chekechea
👉BEI MILION 50 MAONGEZ YAPO KIAS👈
Ina vyumba v4 na kimoja masta
Siting na dining
Jiko tailz jipsam
Public toilet
Ina parking kubwa
Eneo sqm 425 (makadilio)
Nyaraka ni ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga