Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE
KIGAMBONI TOANGOMA
SIFA ZAKE
Ina vyumba3 kimoja master public toilet seble jiko dining nyumba ina baikota nyuma ina vyumba2 seble choo nyumba nzuri ya kisasa kabisa yani classic house nyumba alikua anakaa mwenyewe ila anashida anaiuza
Umbali kutoka lami ya kigamboni kongoweni kl1.5 tu sio mbali na kunafikika kirahisi miundo mbinu yote ipo shule umeme upo
Bei yake ni 50ml tsh tu
Survey charge ni 20000 tsh tu paka update utakayo ipenda boss wangu bila kuchajiwa tena survey
Call0785706793
0654507583 karibu sana