Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE HATI,TSHS.180 MILIONI,KIBUGUMO,KIGAMBONI.
Hapa ni umbali wastani wa kilomita 12 tu kutoka Ferry, KIGAMBONI.
Hii ni nyumba nzuri YAKUHAMIA.
Ina jumla ya Vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
WAHI KUKAGUA MAPEMA ILI UFANYE MAAMUZI,
KABLA HUJAWAHUWA.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________ery


















