Nyumba inauzwa Kihonda, Morogoro







NYUMBA MBILI ZA PAMOJA ZINAUZWA NA BANK, TSHS.30 MILIONI, MOROGORO.
BEI IMEPOROMOSHWA HIVYO WAHI IJICHUKULIE MAPEMA.
Eneo ni KIHONDA.
Mazimbu road.
Umbali wa mita 40p tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kila nyumba moja inajitegea na ina vyumba vya kulala 3.
Na pia kuna Fremu mbili za Biashara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni 100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________jj/mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.