Nyumba inauzwa Kilimanjaro, Kilimanjaro


NYUMBA NZURI YA KISASA ILIYOPO OSTABEI/SHERI MATUNDA.
SIFAZAKE: Nyumba ina jitegemea yenyewe.
: Nyumba ina uzio wa ukuta na gate
pamoja na CTV Camera.
: Nyumba ina Makabati kwenye vyumba
vyote.
UKUBWA WA NYUMBA: Nyumba ina ukubwa wa vyumba vi 3, kimoja wapo ni master, sebule, stoo pamoja na dinning.
Bila kusahau kuna public toilets za Kisasa.
MENGINEYO: Nyumba ina Servant coter ya Single mbili kubwa pamoja na jiko la Nje. Bila kusahau kuna Banda la Kisasa la kufugia kuku lenye ghorofaππ, Noma sana.
BEI YAKE: Mwenye nyumba anahitaji 500,000 Ila kuhusiana na punguzo usijali mnaweza kuongea vizuri na mkaelewana.
AGALIZO: Mteja wetu hakika tunakupenda na tunahakikisha unapata kitu kizuri.
Bila kusahau 10,000 ya kutembezwa kutazama nyumba.
MAWASILIANO: Wasiliana nami+255625369161
MOSHI- KILIMANJARO.