Nyumba inauzwa Kilimanjaro


NYUMBA MPYA INAUZWA.
IPO ARUSHA CITY tz mahali KWA MROMBO / IDARA YA MAJI / INTEL
Ukubwa wa KIWANJA 400 SQM / MITA 20 KWA 20.
NYARAKA ZA UMILIKI SALES AGREEMENT.
NYUMBA MPYA YA KISASA YA FAMILIA
YENYE:
Vyumba vi TATU vya kulala kimoja MASTA.
JIKO, SEBULE, DINING, STORE, PUBLIC TOILET, WINDOW GRILL, MAJI, MFUMO WA UMEME, CAR PARKING, BARAZA YA SEBULENI na JIKONI.
NYUMBA IMEWEKWA PLASTA NDANI POTE.
NYUMBA IMEZUNGUKWA NA MAJIRANI WAZITO. NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WALA DENI.
Ukiwa kwenye nyumba unaona Mlima MERU na KILIMANJARO.
BEI INAUZWA Tsh Milioni 39,000,000/- Anza na nusu BEI deni Lipa Kwa awamu.
Maongezi yapo.
Kwa Taarifa zaidi na kuona weka appointment Kwa 0627779772 au 0765899772
KWA MROMBO, Arusha. 3 Beds. TZS 39M.