Nyumba inauzwa Kiluvya, Pwani


ENEO LENYE PAGALE NA NYUMBA LINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA
Ukubwa wa eneo sqm 3000 limezungushiwa fence lote
Umbali KM 1 tu unaweza kutembea dakika 15 kwa mguu ni upande wa DSM kulia kama unaenda Kibaha
Eneo limepimwa hati ipo hatua za mwishoni kukamilika
Bei Mil. 140 maongezi yapo
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0716501815