Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI SANA INAUZWA INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER , CHOO YA PABLICK 2 , SEBLE, DIANING , JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIYO TENA . FULL DOCOMENT NYUMBA INA HATI VYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KWA MA MZAIRE KUTOKA KWENYE BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5.
BEI MILIONI MIA MOJA SABINI NA TANO.
SERVES CHARGE 20000
SIMU
0712656027