Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA INA VYUMBA VYA KULALA 4 VIWILI MASTER SEBLE DIANING NA JIKO NA PABLICK PIA IPO .
PEMBENI KUNA CHANGE COTER AMBAYO KUNA CHUMBA JIKO NA CHOO NA KWA NJE KUNA FREM 2.
KIUFUPI NYUMBA NI KALI SANA NA IMEKAMILIKA KILA KITU .
IPO KIMARA MWISHO KUTOKA BARABARA KUBWA KILOMETER 2
BEI MILIONI 150. #0683491594 #0716974073