Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
ENEO KUBWA LENYE GOFU KUBWA LINAUZWA BEI MILIONI 30 MAONGEZI YAPO
LOCTION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500
ENEO KUBWA NZR LINAFAA KUJENGA APARTMENT ZA BIASHARA AU MAKAZI BINAFSI
ENEO LINAUKUBWA WA 20ร25
ENEO LINA DOCOMENT SALE AGREEMENT HALALI KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
KARIBU NDUGU MTEJA UKAE KARBU NA MJINI
KUPELEKWA SITE ELF 30
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja