Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA HIYO NZURI INAUZWA. INA VYUMBA VYA KULALA 4,. KIMOJA MASTER INA PABLICK NA BAFU
SEBLE KUBWA NA YA KISASA NZURI SANA NA JIKO LA KISASA HILO , PIA INA SEHEMU YA KUSOMEA INA GARGEN NYUMBA KUNA SEHEMU KUBWA YA KUFUGIA KUKU.
KUBWA WA ENEO NI SQUIRE MITA 500 NA POINT KADHAA.
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE .
BEI MIA THEMANI NA TANO 185.
MALIPO YANAPOKELEWA HATA KWA AWAMU RUHUSA ENEO LIMEPIMWA LINA OFFER . SERVES CHAJI 20000.
SIMU
0712656027