Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KIFAMILIA
INAUZWA
KIMARA MATOSA
YENYE SIFA HIZO###
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER BEDROOM,SEBLE JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC####
UKUBWA WA KIWANJA SQM 400
NYUMBA HAIKO MBALI NA MATOSA CENTRE#####
HATI MAUZIANO(Sales Agreement )
BEI MILLION 45 MAONGEZI
KARIBUNI SAANA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363