Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 25,000,000

HOUSE FOR SALE ๐Ÿ”ฅ HOUSE FOR SALE
NYUMBA HII YA WAPANGAJI
INAUZWA / INAUZWA
KIMARA TEMBONI..

PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO BARABARA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE๐Ÿ“Œ

๐Ÿ’ฅBEI YA KUUZA NI MILIONI 25.
MAONGEZI KIDOGO YAPO.

๐Ÿ˜๏ธ NYUMBA HII INAVYUMBA V4 VYA KULALA, AMBAVYO UPANDE MMOJA VIWILI NA UPANDE MWINGINE PIA VIWILI, KATI KATI NI CORDO, PAMOJA NA SEHEMU YA JIKO LA KUSHARE" UMEME UPO, BADO KUVUTA MAJI TU HAPO, NA YAPO JIRANI..

MTEJA ATOPOINUNUA NYUMBA HII ANAWEZA KUBADILISHA PLAN JINSI ATAKAVYOONA INAFAA..

UKUBWA WA ENEO NI METER 18 X18

DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO KUTOKA OFFICE ZA SERIKALI YA MTAA..

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.

USAFIRI WA BAJAJI UPO NA BODA BODA PIA..

๐Ÿ˜๏ธKARIBU SANA NDUGU MTEJA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
SIMU
0712656027

Upendo Tarimo
dalali_tarimo_ubungo_kimara
Upendo Tarimo

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ#APARTMENT #INAPANGISHWAโž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara Korogwe ๐Ÿ•‘Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1 usafil...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: MAJI CHUMVI/ KWA MKUWAUnaweza U...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

โ€”โ€”300,000 x6. DK 6. APARTMENT YA KUPANGISHA KIMARA SUKA (300,000)KWA MWEZIChumba Master kikubwaSeb...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

#0742260844_#0657384670.NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 300KZIPO KIMARA KOROGWE KODI NI...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

0679 997610 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA โž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara korogwe ๐Ÿ•‘ Umbali Kutoka stand ya Mwendokas...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

0679 997610 #Inapangishwa KIMARA KOROGWE ๐Ÿ“ Kodi 250,000/= *6๐Ÿคณ 0753 172 516_______#Ya Juu ndio iko ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 8 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 KUTOKA SUKA STEND KUPELEKWA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10 KUTEMBEA SIFA YA NI Vyumba viwilli vya kulala sebu...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ#APARTMENT #INAPANGISHWAโž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara Korogwe ๐Ÿ•‘Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1 usafil...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZUR MNOOOOO =================INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE ===============...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6) 0759151524KIMARA TEMBONI 3KM BAJAJI 1000โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–SIFA ZA NYUMBA โœ”๏ธ VYUMBA VIWILI โœ”๏ธKIMOJ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6. 0759151524MPYA MPYA KABISAHIZI APARTMENT ZINAPANGISHWACHUMBA, SEBILE NA CHOO NDANITAILZY...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

120,000 x6. 0759151524๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA โž–โž–โž–โž–โž–๐Ÿ“Kimara korogwe ๐Ÿ•‘ Umbali Kutoka stand ya...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000 ร— 5,6) 0759151524KIMARA MWISHO โ€”โ€”Apartment nzuri sana Inapangishwa kimara mwisho ===Vyumba...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

450,000 x6. 1/8/2025/APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6 ๐ŸŒŸ APARTMENT HII I...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6๐ŸŒŸ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #CHUM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200K X 4๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)KIMARA TEMBONI 3KM BAJAJI 1000โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–SIFA ZA NYUMBA โœ”๏ธ VYUMBA VIWILI โœ”๏ธKIMOJA MASTER โœ”๏ธS...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X5) NA (250,000X5)KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 1.8KM BAJAJI 700โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–KU...