Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


IMETUPWA TENAAA
NJOO ULIPIE UPO PEKE YAKO
AC UKITAKA UNAFUNGIWAAA
MTUNGI MKUBWA UMEPEWA. BUUURE
#NEW_APARTMENT NZURI YA KISASA IPANGISHWA KIMARA TEMBONI/KIBANDA CHA MKAAA
INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA MASTER NA KABATI KUUUUBWA LA NGUO
#SEBULE NZURI KUBWA
#JIKO ZURI (OPEN KITCHEN) LENYE MAKABATI
#KIPO CHA NJE PIA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
βΌοΈNYUMBA NI MPYA KABISA
BEI NI 200,000/=x6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 3KM NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA AU UNAWEZA KUTOKEA KWA KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA 3KM KUTOKA MOROGORO ROAD
0655256419