Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE π₯ HOUSE FOR SALE
NYUMBA HII YA WAPANGAJI
INAUZWA / INAUZWA
KIMARA TEMBONI.
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO BARABARA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE
BEI YA KUUZA NI MILIONI 25.
MAONGEZI KIDOGO YAPO.
ποΈ NYUMBA HII INAVYUMBA V4 VYA KULALA, AMBAVYO UPANDE MMOJA VIWILI NA UPANDE MWINGINE PIA VIWILI, KATI KATI NI CORDO, PAMOJA NA SEHEMU YA JIKO LA KUSHEA" UMEME UPO, BADO KUVUTA MAJI TU HAPO, NA YAPO JIRANI..
MTEJA ATOPOINUNUA NYUMBA HII ANAWEZA KUBADILISHA PLAN JINSI ATAKAVYOONA INAFAA.
UKUBWA WA ENEO NI METER 18 X18
DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO KUTOKA OFFICE ZA SERIKALI YA MTAA.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI WA BAJAJI UPO NA BODA BODA PIA.
ποΈKARIBU SANA NDUGU MTEJA
KUONYESHWA NYUMBA 30,000/=
What saapp number β¬
οΈ 0689-547258