Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







250K X6 PUNGUZO LA BEI MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALLDALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.2
CHUMBA KIKUBWA SEBLE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL GARDEN
PERVING BLOCKS ZINAWEKWA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB;
NYUMBA HII INA MAGETI MAWILI 👇
GETI KUBWA MNASHEA WANNE TU NA GETI DOGO UNAJITEGEMEA PEKE YAKO
NYUMBA HII NI MPYA IMESHAKAMOLIKA KWA NDANI VIMRBAKI VITU KIDOGO KIDOGO TU
NA MAFUNDI WAPO KAZINI
KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20K
CONT 👇



















