Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI SANA INAUZWA
INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER ,
CHOO CHA PUBLIC 2 ,
SEBLE, DIANING ,
JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIO TENA .
NYUMBA IPO FULL DOCUMENT
NYUMBA INA HATI
VYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KWA MAMZAIRE KUTOKA KWENYE BARABARA YA ZEGE DAKIKA 5.
BEI MILIONI MIA MOJA SABINI NA TANO.(TZSH 170 M)
SERVES CHARGE 20000
☎️#0757208653