Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA BADO INA UPYAA WAKE
Nyumba inauzwa Kimara Temboni (SARANGA WHITE HOUSE)
Bei milion 42 inapungua pia
Ina vyumba v3 kimoja masta
Dining, siting jiko
Umeme, tailz jipsam
Eneo sqm 500 (makadilio)
(UNAJENGA NYUMBA INGNE ENEO ILIYOBAKI)
Whatsap au piga 0769279936