Nyumba inauzwa Kisima, Kilimanjaro


GHOROFA LINAPANGISHWA ILAZO LINATAZAMA LAMI
LINARUDIWA RANGI+MAREKEBISHO YOTE MUHIMU
MATUMIZI-OFISI TU
____________
MAHALI-ILAZO (LINATAZAMA BARABARA YA LAMI)
____________
MUUNDO
A.GROUND FLOOR
-CHUMBA MASTA
-SEBULE
-JIKO
-STOO
-GARAGE/KINAWEZA TUMIKA KAMA CHUMBA PIA
B.GHOROFA YA KWANZA
VYUMBA 03 MASTA VYOTE VIKUBWA SANA
_________
HUDUMA
-MAJI YAPO KUMECHIMBWA KISIMA
-UMEME UPO
-IKO NDANI YA FENSI
-PARKING SPACE IPO KUBWA
-HEATER KWAAJILI YA MAJI MOTO
-WATER RESERVE TANKS
-KUNA KIJUMBA KIDOGO GETINI KWAAJILI YA MLINZI
_______
BEI-2.5M@MWEZI
________
MUDA WA MALIPO-MWAKA
_________
MALIPO YA DALALI-KODI YA MWEZI
(UNALIPA MTEJA/MPANGAJI)
__________
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
__________
MAWASILIANO
0767833496(CALL)
0622111186(CALL+WHATSAP)