Nyumba inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kitunda machimbo wilaya ya ilala dar
👉BEI MILION 55 MAONGEZ YAPO👈
Vyumba v3 kimoja masta
Dining siting Jiko
Tailz jipsam maji umeme
FULL FENS
Gari inafika
Eneo sqm 350
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga 673 601 114