Nyumba inauzwa Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kivule sokoni wilaya ya ilala Dar
Vyumba jumla v4 (ndani vipo v3 nje kimoja)
👉BEI MILION 59 INAPUNGUA KIAS👈
Tailz jipsam mani umeme
Full perving
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Eneo sqm 400 (makadilio)
Unatembea had stend
Gar moja had mjini
Whatsap au piga
0614130017