Nyumba inauzwa Lukobe, Morogoro
NYUMBA INAUZWA IPO LUKOBE KWA WAGOGO NYUMBA IPO SEHEMU NZURI NA IPO JIRANI NA KITUO CHA DALADALA
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA,SEBULE,JIKO,STORE NA PUBLIC TOILET
PIA KUNA MABOMA MATATU NDANI YA FENSI
BEI NI MILIONI 65
SIMU:0752481398