Nyumba inauzwa Mabanda, Tanga


NYUMBA YENYE VYUMBA 4,60 MILIONI,MBONDOLE.
Nyumba nzuri, kubwa na ambayo ipo jirani na Barabara kubwa.
Vyjmba 4(Masta 1) Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba hii pia Ina Mabanda ya kufugia Kuku pamoja na Frem moja ya Duka.
WAHI KABLA HAIJAWAHIWA.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
_____________mskv