Nyumba inauzwa Mabibo, Dar Es Salaam


Hii nyumba inauzwa,
Ipo mabibo makutano,
barabara ya kuelekea Kigogo luanga,
ina vyumba vitano, stoo na vyoo 4,
kwa sasa mwenyewe kaifanya hostel,
ina wanafunzi 24, kila mmoja analipa laki 5 kwa mwaka,,
mmiliki mmoja,
Bei mil 75 tu,
maongezi kidogo yapo.
Mawasiliano 0679 077638