Nyumba inauzwa Majengo, Dodoma







FURSA YA UWEKEZAJI NDANI YA MAKO MAKUU YA NCHI DODOMA MAJENGO YANAUZWA. BLOK (K) KARIBU NA MIPANGO. UNAWEZA FANYA HOTEL, HOSTEL, CHUO, SHULE, NK. MAANA YAMEZUNGUKWA NA VYUO. KAMA. ( MIPANGO, CHUO CHA MADIN, CHUO CHA UFUNDI, DON BOSCO, SEMINARI, MAKAO MAKUU YA JESHI. VYUMBA VYOTE VIMEJAAA WAPANGAJI.
LOC : DODOMA MIPANGO
AREA :SQM 14,933
PRICE : 1.4 BILL
UMILIKI : HATI MILIKI YA WIZARA.
SIFA:- πππ
-NYUMBA ZIPO 6.
-VTUMBA 56 SELF ZOTE
-KISIMA CHA MAJI.
-VYUMBA VYOTE VINA WAPANGAJI
-KUDI NI 120,000, 130,000, NA 140,000, KILA CHUMBA.
-NYUMBA ZOTE ZINA LINE YA MAJI MOTO, KILA JENGO LINA MITA YAKE, MAJI NA UMEME.. KUNA KISIMA CHA MAJI NA DAWASCO...... Nb. NAONGEA NA MMILIKI.
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 100,000. HII HAIHUSISHI USAFIRI.