Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA IPO MBAGALA CHAMAZI WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM
Tsh: 85,000,000.
Nyumba inauzwa millioni themanini na tano(85).
nyumba ina vyumba vinne vyumba viwili master ina sittingroom diningroom jiko store na choo cha publick ina tiles nyumba nzima ina fence nyumba nzima ina parking kubwa yakukaa gari ndogo kumi na mbili ina full preving brocks nyumba nzima ina umeme na maji ninyumba nzuri yakisasa kabisa maongezi yapo wahii mapema maisha ninyumba.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HIZII..0713983876