Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa MBAGALA CHAMAZI (AZAM COMPLEX
📌BEI MILION 27 MAONGEZ YAPO (usiogope)
Vyumba V3 kimoja masta
Sebule na Public toilet
maji umeme Jipsam tailz
Eneo Sqm 400 (makadilio)
Nyaraka ya mwanasheria
Ndani ya fens
Unatembea tu had stend
Gari moja mpaka mjin
Whatsap au piga