Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS WANGU IYO KAZI IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA SAKU ILULU JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA YANI NIPALE PALE TU STEND YA SAKU ILULU
INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 44 TU
INA NYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
ENEO SQAEMITAR 400 INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA WA MKONDONGWA
NYUMBA INA FENS GARI NDOGO 3 ZINA INGIA NDANI
NJOO NKUZIE BOSS WABGH UKIWA SIRIOUSE UWEZI KUIYACHA NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0652618143. 0759203175. 0753385044