Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ipo mbagala kingugi kwa Mnyani nyuma ya dar live kutoka zakhem dar live kuja kwenye hii nyumba ni dakika 12 tu
Sio mbali kabisa
Nyumba nzuri sana ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 65 tu
Ina vyumba 10 vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Nyumba kubwa ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet
Na uwani kuna vyumba 7 vya kulala mabanda
Na frem mbili za maduka
Nyumba ina eneo kubwa square miter 900
Ina document ya leseni ya makazi ya manspaa ya tmk
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143
Zote zipo Whatsapp