Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa bei milioni 130 maongezi yapo kidogo, Nyumba IPO mbagala maji matitu location shule ya secondary, Eneo lake la ukubwa wa nyumba yote ni Square mita 900. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la kisasa kabisa lipo, tiliz, madilisha vioo, kamera zipo kila kona ya Nyumba, security wiring juu ipo, paving blocks chini zpo, fensi ya parking ipo, na garden ipo pia. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0719250426 au pga namba 0688559385.