Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Hii nyumba ni nzuri sana ipo mbagala chamaz msufini Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa msufini
Ukubwa wa eneo square miter 400
Document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba ni vitatu vya kulala kimoja master bedroom
Ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 10 tu
Na kutoka stendy ya dala dala ya mapunda kuja kwenye hii nyumba ni dakika 3 tu
Wai mdau wangu mwenyewe ana shida sana kavulugwa ana taka kusafiri
Ana iyuza bei nafuu sana tsh million 59 tu
Nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143