Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ipo mbagala chamaz magengeni jilani kabisa na stendy ya magengeni chamaz Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Usikubar kuikosa kabisa wadau wangu nyumba mpya kabisa nzuri sana ime jengwa vzuri sana ni nyumba ya kisasa kabisa
Ukubwa wa eneo square miter 600
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa wa dovya
Upimaji shilikish Usha fanyika
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku pia ina frem mbili za maduka nyumba nzuri sana
Nyumba ina fence gari ndogo 4 zina ingia ndani njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 125 tu
Ukitaji maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143