Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz kwa papunda ni nyumba ya kisasa kabisa ime jengwa vzuri sana
Mwenyewe kavulugwa sana ana iyuza bei ya kutupa sana tsh million 39 tu
Nyumba ina eneo kubwa square miter 450
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa wa dovya
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ina uzwa bei raisi sana
Kutoka stendy ya dala dala ya mapunda chamaz kuja kwenye hii nyumba ni dakika 5 tu kwa mwendo wa miguu wa mtu mzima
Usikubar kuikosa kabisa ndugu yangu
Nyymbani ipo vzuri sana ime kamilika yote ina kila kitu wai tumalize biashara faster
0713983876