Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ipo mbagala saku mzambalauni jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa mkondogwa
Ina uzwa tsh million 69 tu
Ina eneo square miter 800
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina frem mbili za maduka nyumba nzuri sana ina tizama bara bara kuu ya lami
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nzuri sana ipo ndani ya fence gari ndogo 5 zina ingia ndani
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175
0652618143